Creating Newsletters - Swahili
Outline:
Tumia kipengele cha Column break Jinsi ya kuangalia idadi ya maneno katika hati Jinsi ya kuongeza picha na bendera katika hati Jinsi ya kuongeza mabadiliko ya maandishi katika hati Jinsi ya kuongeza alama ya maji katika hati Jinsi ya kuangazia maandishi Tumia chaguo la Font Effects Tumia chaguo la Drawing toolbar Angalia idadi ya herufi