Typing text and basic formatting in Writer - Swahili

Outline:
Chaguzi za mpangilio wa maandishi (Alignment options) kwenye Writer. Tofauti kati ya alama za bullets na namba (Bullets and Numbering). Chaguzi mbalimbali za Bullets na Numbering. Jinsi ya Kukata (Cut), Kunakili (Copy), na Kubandika (Paste). Jinsi ya kufanya maandishi kuwa Nene (Bold), Yaliyopigwa Chini (Underline), na ya Mitalia (Italic). Jinsi ya kubadilisha jina la fonti. Jinsi ya kubadilisha ukubwa wa fonti. Jinsi ya kubadilisha rangi ya fonti. Jinsi ya kupanga maandishi kushoto (Align Left), kulia (Align Right), katikati (Centre), na kusawazishwa (Justified).