- Instruction Sheet
- Installation Sheet
Outline:
Kuweka faili la picha (Inserting an Image file) kwenye Writer
Kubadilisha ukubwa wa picha (Resizing the image)
Kuhamisha picha hadi mahali panapohitajika (Moving the image to the desired location)
Kuweka kiungo (Hyperlink) kwenye hati ya Writer
Kuweka Alamisho (Bookmark) kwenye hati ya Writer
Kubinafsisha kipengele cha Alamisho (Customising the Bookmark feature)
Jinsi ya kutumia Target in Document (Lengo ndani ya Hati)
Jinsi ya kuunda Path to another document (Njia ya kufikia hati nyingine)
Jinsi ya kutumia kipengele cha Target file (Faili Lengwa)