Search Tutorials

Foss: Introduction to Computers - Swahili

Outline: Vipengele mbalimbali vya kompyuta. Kuunganisha vipengele mbalimbali vya kompyuta.

Basic

Foss: Introduction to Computers - Swahili

Outline: Jinsi ya kuunganisha kichapishaji na kompyuta. Kusanidi mipangilio. Kuchapisha jaribio. Kuchapisha hati ya PDF.

Basic

Foss: Introduction to Computers - Swahili

Outline: Fungua akaunti mpya ya Google. Ingia kwenye Gmail kwa kutumia akaunti ya Google. Andika barua pepe. Tuma barua pepe. Tazama barua pepe na ondoka (logout) kutoka Gmail. Pia tutajifunza kuhusu masa..

Basic

Foss: Introduction to Computers - Swahili

Outline: Chaguzi za Kuandika Barua Pepe. Wapokeaji wa barua pepe, yaani, To (Kwa), Cc (Nakala), Bcc (Nakala Fiche). Weka muundo wa maandishi ya barua pepe. Ambatisha faili kwenye barua pepe. Shiriki faili ..

Basic

Foss: Introduction to Computers - Swahili

Outline: Chaguzi zinazopatikana kwenye Google Drive kama vile: Kuunda hati (document), lahajedwali (spreadsheet), na wasilisho (presentation). Kupakia faili na folda. Na chaguzi za kushiriki kama vile: Ana..

Basic