Compose Options for Email - Swahili

Outline:
Chaguzi za Kuandika Barua Pepe. Wapokeaji wa barua pepe, yaani, To (Kwa), Cc (Nakala), Bcc (Nakala Fiche). Weka muundo wa maandishi ya barua pepe. Ambatisha faili kwenye barua pepe. Shiriki faili kupitia Google Drive. Dondosha picha au kiungo kwenye barua pepe na ujifunze kuhusu chaguzi kwenye dirisha la kuandika (Compose window).