Introduction to Gmail - Swahili

Outline:
Fungua akaunti mpya ya Google. Ingia kwenye Gmail kwa kutumia akaunti ya Google. Andika barua pepe. Tuma barua pepe. Tazama barua pepe na ondoka (logout) kutoka Gmail. Pia tutajifunza kuhusu masanduku muhimu ya barua pepe kama vile Inbox (Sanduku la Kuingia).