Basic Data manipulation in Calc - Swahili

Outline:
Utangulizi wa kutumia fomula za msingi katika Calc. Hisabati za msingi – kuongeza, kutoa, kuzidisha, kugawanya. Kupanga kwa kutumia safu wima. Misingi ya kuchuja data. Fomula ya JUMLA (SUM). Fomula ya WASTANI (AVG). Kupanga kwa mpangilio wa kushuka (Descending order). Kupanga kwa mpangilio wa kupanda (Ascending order). Kupanga data kwa kutumia kipengele cha Sort keys. Utendaji wa kipengele cha Auto Filter.