Introduction to LibreOffice Calc - Swahili
Outline:
Vibarazani mbalimbali vya zana kwenye dirisha la Calc. Kufungua lahajedwali jipya katika Calc. Kufungua lahajedwali lililopo tayari katika Calc. Kuhifadhi na kufunga lahajedwali. Kitabu cha kazi (Workbook) katika Calc. Mtandao wa safu wima na safu mlalo katika Calc. Seli katika Calc. Kubadilisha ukubwa wa fonti, mtindo wa fonti na jina la fonti. Kuhifadhi faili katika miundo tofauti kama .XLSX na .HTML. Kusafirisha kama PDF.
Assignment
Status: